Tuesday, May 27, 2014

MAMBO MATATU (3) YANAYO SABABISHA MADOA USONI.

Madoa usoni  a.k.a  (skin  hyperpigmantation ) ni tatizo linalowakabili watu wengi sana, hasa wale  wenye umri wa miaka kati yaani  15 hadi 40.
Ugonjwa/tatizo hili humfanya mtu asiwe na raha na uso wake na pengine kuishi kwa kujifuni funika anapotika kwenda popote kwa sababu abajiona hapendizi au hawavutii watu. Hivyo basi ukiwa na madoa usoni kwa manano mengine unapunukiwa na mvuto.Madoa usoni husababisha na:

CHUNUS.
Mtu anapofikia umri wa kupevuka, ngozi huzalisha kiasi kikukubwa cha mafuta (sebum) ambayo hupelekea kutoa chunus usoni. Baada ya kutoka chunusi asipopata mafuta sahihi ya kujipaka yanayofaa kwa watu wa ngozi za mafuta chunusi hukomaa na kufikia kiwango cha kuacha madoa usponi baada ya kukauka.

JUA (UV LIGHT).
Jua nalo ni chanzo kikubwa cha kuharibu ngozi. Jua sio tu kwamba linaleta madoa usoni, jua linaweza kusababisha matatizo makubwa ya ngozi ikiwemo kansa kama hatua za makusudi hazita chukuliwa kuilinda ngozi inayopingwa na jua.

MADAWA.
Kuna baadhi ya madawa huweza kuifanya ngozi iwe sensitive na kuleta madoa usoni bila hata kupigwa na jua au kuwa na chunus. Baadhi ya madawa hayo nii;


 Estrogens
  • Tetracyclines
  • Amiodarone
  • Phenytoin
  • Phenothiazines
  • Sulfonamides.
Kwa kulitambua hilo ORIFLAME wametengeneza products maalimu kwa ajiri ya kuondoa madoa usoni. Even Out ni products inayoondoa madoa usoni na kuikinga ngozi yako na jua  UV right kwa SPF 20.
Kwa hiyo huna tena sababu ya kuhangaika suluhisho lipo. KARIBU SANA.

Thursday, May 22, 2014

Madaha: JINSI YA KUTUNZA NGOZI YAKO.

Madaha: JINSI YA KUTUNZA NGOZI YAKO.: Habari mpendwa,  Leo tutazungumizia swala  la kutunza ngozi yako (skin care routine). Awali ya yote kabla sijasema mengi ni vvema utambue ...

JINSI YA KUTUNZA NYWELE ZAKO ZIBAKI ZA ASILI.

Habari Mpendwa!
Kwa mwanake kuwa na nywele mbaya ni sawasawa na kuwa na siku mbaya. Nywele zinakamilisha urembo wako. Nywele  safi, bora imara abazo ni nzuri zitakuongezea kujiamini (confidence).
Hapa duniani kuna nywele za aina tatu (3).

1.Zipo za Wihindi (Asian hair)
2. Za Wazungu (European hair )
3. Za Kiafrika (Afro-Caribbean hair).

Makundi yote hayo yanahitaji bidhaa sahii kwa ajiri ya kutunza na kusafisha nywele hizo. Huwa ni vigumu sana kupata bidhaa za kuweza kufaa kwa aina zote. Sasa jawabu limepetikana siku hizi. Bidhaa za nywele za Oriflame zina uwezo mkubwa wa kusafisha na kuimalisha  nywele za aina yoyote hapa Duniani. Watanzania wemekuwa wakipata taabu sana na utunzaji wa nywele zao. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ukienda kwenye saluni zetu shampoo, dawa au mafuta utakayo tumia wiki hii huna uhakika kama utayakuta wiki ijayo kwa ubora na kiwango kilekile.

Kichwa chako ni kama bustani nzuri. Lazima ukitunze kwa bidhaa sahihi. Nywele nzuri huanzia kwenye kichwa chenye afya. Nimuhimu kuwa makini na vitu unavyo tumia kichwani mwako, usije ukaharibu bustani hiyo.

Hii ni moja wapo ya product za oriflame. Ni mafuta ya nazi ya asili ambayo hayana kemikali yoyote. Inazuia nywele kukatika na inazifanya zing'ae laini na kuzikinga zidi ya uharibifu.
Hizi nazo ni baabhi ya products za Oriflame. Zina zuia mba, zinazuia nywele kukatika, zinaongeza unene (volume) ya nywele zako. Chakua tiba sahihi kwa nywere zenye Afya na Kichwa chenye Afya.

Kwa kumalizia Kichwa ni kina ngozi na huwa toa dead cells ( kujiumua) kama ngozi ya kawaida. Kwa hiyo usipo pata shampoo, Marsk, conditioner au treatment nzuri ndio mwanzo wa kuharibu nywele.

Aksante sana kwa kutembelea blogu hii, Kwa chochote kile tunaomba maoni,ushauri wako. KARIBU.



Wednesday, May 21, 2014

JINSI YA KUTUNZA NGOZI YAKO.

Habari mpendwa,
 Leo tutazungumizia swala  la kutunza ngozi yako (skin care routine).
Awali ya yote kabla sijasema mengi ni vvema utambue kuwa unahitaji kuijua ngozi yako kabla ya kufahamu namna ya kuitunza! Je, unaijua ngozi yako?
Aina za ngozi.
Duniani kuna aina kuu tano za ngozi;
1.Ngozi ya mafuta.(Oil skin).
Sifa zake.
-Huwa inang'aa sana,
-Huwa haizeeki haraka,
-Huwa inatabia ya kutoa chunusi,
-Huwa haipati mikunjo haraka,
-Mwenye ngozi ya mafuta akipaka Make up zinapotea ndani ya muda mfupi.
2.Ngozi kavu.(Dry skin).
Sifa zake
-Huwa inapasuka pasuka,
-Ni rahisi sana kuzeeka na hupata makunyanzi  mapemaaa.
-Huwa inapauka  sana ukipaka Make up zinakaa muda mrefu.

3.Ngozi ya changanyiko(combination skin) 
 Ngozi hii inakuwa  na tabaka upanda mafuta upande kavu au kinyume chake.
Sifa zake.
 -Utakuta mashavuni pana mafuta  na paji la uso hakuna au kinyume chake.

4.Ngozi ya kawaida (Normal skin).
-Huwa haina tatizo lolote,
-Huwa haipati shida wala reaction yoyote
-Chochote utakachotumia twende tu.

5.Ngozi korofi (sensitive skin)
Sifa yake kuu ni kwamba chochote utakachotumia kinaleta shida, (reaction). Ngozi hii inachagua sana  (selective).Sabuni au Mafuta  kwa aina hii ya ngozi lazima yachaguliwe kwa makini ili yasileta shida.

Mpendwa ngozi yenye afya haitakiwi kuwa na mafuta wala kuwa kavu...(Oil or Dry skin). Inatakiwa kuwa nyevunyevu (moisturized). Kama sio hivyo tuwasiliane mapema kwa ushauri zaidi.
 
NAMNA YA KUTUNZA NGOZI
.
Hatua ya kwanza ni kusafisha kwa cleanser(sabuni maalumu ya uso tu)
Faida zake
-Inapunguza mafuta,
-Inaondoa vumbi,jasho,moshi, na nakufungua matundu ya ngozi.
Hatua ya pili ni kupaka Tonner
Faida ya Tonner,
-Inaziba matundu yaliyofunguliwa na cleanser,
-Huandaa ngozi kwa ajiri ya mafuta(cream).

Hatua ya tatu ni kupaka cream ya macho. (eye cream).
Faida zake;
-Huondoa mikunjo (makunyanzi kwenye jicho)
-Huo ndoa weusi kwenye jicho.
Hatua ya mwisho ni kupaka cream. Day cream kwa mchana au Night cream kwa usiku.



Hizi ni baadhi ya bidhaa za usoni (skin care produsts) kutoka kampuni yetu ya Oriflame, Karibu sana.