Kwa mwanake kuwa na nywele mbaya ni sawasawa na kuwa na siku mbaya. Nywele zinakamilisha urembo wako. Nywele safi, bora imara abazo ni nzuri zitakuongezea kujiamini (confidence).
Hapa duniani kuna nywele za aina tatu (3).
1.Zipo za Wihindi (Asian hair)
2. Za Wazungu (European hair )
3. Za Kiafrika (Afro-Caribbean hair).
Makundi yote hayo yanahitaji bidhaa sahii kwa ajiri ya kutunza na kusafisha nywele hizo. Huwa ni vigumu sana kupata bidhaa za kuweza kufaa kwa aina zote. Sasa jawabu limepetikana siku hizi. Bidhaa za nywele za Oriflame zina uwezo mkubwa wa kusafisha na kuimalisha nywele za aina yoyote hapa Duniani. Watanzania wemekuwa wakipata taabu sana na utunzaji wa nywele zao. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ukienda kwenye saluni zetu shampoo, dawa au mafuta utakayo tumia wiki hii huna uhakika kama utayakuta wiki ijayo kwa ubora na kiwango kilekile.
Kichwa chako ni kama bustani nzuri. Lazima ukitunze kwa bidhaa sahihi. Nywele nzuri huanzia kwenye kichwa chenye afya. Nimuhimu kuwa makini na vitu unavyo tumia kichwani mwako, usije ukaharibu bustani hiyo.
Hii ni moja wapo ya product za oriflame. Ni mafuta ya nazi ya asili ambayo hayana kemikali yoyote. Inazuia nywele kukatika na inazifanya zing'ae laini na kuzikinga zidi ya uharibifu.
Hizi nazo ni baabhi ya products za Oriflame. Zina zuia mba, zinazuia nywele kukatika, zinaongeza unene (volume) ya nywele zako. Chakua tiba sahihi kwa nywere zenye Afya na Kichwa chenye Afya.
Kwa kumalizia Kichwa ni kina ngozi na huwa toa dead cells ( kujiumua) kama ngozi ya kawaida. Kwa hiyo usipo pata shampoo, Marsk, conditioner au treatment nzuri ndio mwanzo wa kuharibu nywele.
Aksante sana kwa kutembelea blogu hii, Kwa chochote kile tunaomba maoni,ushauri wako. KARIBU.
No comments:
Post a Comment