Thursday, November 6, 2014

SABABU 7 KWA NINI UMILIKI BIASHARA YAKO. (7 REASONS WHY YOU SHOULD BECOME A BUSINESS OWNER)

Habari!
Naomba nianze  kwa usemi huu wa kiingereza; "You only live once, but if you do it right, once is enough"... Kumuliki biashara yako ni jambo ambalo haliepukiki kama unapenda kuwa mtu wa kuheshimiwa na kusaidia watu wngine. Hebu chukua dakika 5 ufikilie katika jamii inayo kuzunguka wanaopata heshima ni watu gani? Wenye pesa au wasio na pesa? Anzia kwenye taasisi za dini, kwenye ukoo wenu, kwenye mtaa unaoishi, njoo hata kwenye ngazi za kitaifa. Leo ukisikia bwana  R. Mengi  wa IPP anapita sehemu unadhani hali ya hapo itakuwaje kwa muda huo? Mazungumzo yao na mawazo ya jamii hiyo alipo kwa muda huo. Hii ni kwa sababu ni mmiliki wa biashara! Yafuatayo ni mambo 7 kwa nini kumiliki biashara yako ni muhimu kwa maisha yako.
1. KUJENGA UTAJIRI WAKO NA SIO WA MTU MWINGINE
Unapokuwa umeajiriwa unachokifanya ni kutekeleza mawazo na ndoto za mtu aliye kuajiri. Lakini kama utaanzisha biashara yako, utakuwa unajitengenezea kitu chako wewe mwenyewe. Hata pale unatakapo toka duniani mwanao/walithi wako na haki ya kumiliki ile biashara lakini sio ajira yako.

2.KUPATA KIPATO MARA MBILI AU ZAIDI YA KILE ULICHO NACHO SASA.
Ukiwa mwajiriwa  huna uamuzi wa kujiongezea kipato kwenye maisha yako, uamuzi ulio nao wewe ni kusikiliza huruma ya boss/mwajiri wako wewe ni mtu wa kusikiliza anaamua nini juu ya maisha yako...

3. KUPATA UHURU WA KIFEDHA WA KWELI. (TRUE FINANCIAL FREEDOM)
Kama unabiashara na unawateja    200 tu, unauwezo wa kwenda likizo(holiday) na kipato kikaendelea kuingia kwenye account yako. Kwa hiyo ukiwa likizo kipato kinaongezeka...

4. KUFAIDIKA NA ONGEZEKO LA WATU.
Kwa mfanya biashara watu kuwa wengi ni faida maana idadi ya wateja wa bidhaa zako inaongezeka. Ukiona watu wanaongezeka kuwa karibu na wewe mfano watu kuhamia kwenye mtaa wako, mfanya biashara ni kufurahi tu maana soko linazidi kukua!

5.KUWA NA UHAKIKA WA KAZI YAKO.
Kwa kumiliki biashara  yako unauhakika na kazi unayofanya, kama wewe ni mtu wa ajira, huna uhakika sana na kazi yako kwa sababu siku unaposhindwa kuenenda kwa mujibu wa mashariti yenu, mwajiri wako ana uhuru wa kusitisha ajira yako.

6. KUWA NA KIPATO KINACHOWEZA KUJIONGEZA CHENYEWE.
Ukiwa na biashra yako mwenyewe kazi yako ni kujenga msingi wake. Baada ya kuwa imeanza kukua una uhakika wa kuicha iendelee kujiongeza na kuzidi kuongeza mapato hata kama wewe haupo. Hii sisi watu watu wa MLM tunaita "Passive Income"...Uwepo usiwepo kipato chako kinaongeza...Raha iliyoje.. Njoo tuanzishe biashara!

7.MAMBO YA 9-5 (3-11) WAHI YAMEPITWA NA WAKATI.
Ukiwa mwajiriwa mawazo yako siku zote yanaendesha na kufika kazini na kutoka kazini.. Sababu inayomfanya mwajiri (Boss wako ) akuongezee Tzs: 50,000/= kwenye mshahara wako ni kwa kwamba hiyo pesa inatoka kwenye mapato yako(utajiri/mfuko wake) ..Kila anapo kuongezea wewe yeye anazidi kupunguza pesa yake, Upo hapo? Huu ndio uhusiano wenu, Unadhani anapenda wewe uwe tajiri?
Dunia siku zote haikupi kile unachotaka bali kile unachostahili......Changamka anzisha biashara ubadili maisha yako....Wakati ni huu usingoje kesho... Aksante sana.

Kama unapenda kuwa na biashara hata kama huna pesa ya mtaji tuwasiliane +255762935550

No comments:

Post a Comment