Ugonjwa/tatizo hili humfanya mtu asiwe na raha na uso wake na pengine kuishi kwa kujifuni funika anapotika kwenda popote kwa sababu abajiona hapendizi au hawavutii watu. Hivyo basi ukiwa na madoa usoni kwa manano mengine unapunukiwa na mvuto.Madoa usoni husababisha na:
CHUNUS.
Mtu anapofikia umri wa kupevuka, ngozi huzalisha kiasi kikukubwa cha mafuta (sebum) ambayo hupelekea kutoa chunus usoni. Baada ya kutoka chunusi asipopata mafuta sahihi ya kujipaka yanayofaa kwa watu wa ngozi za mafuta chunusi hukomaa na kufikia kiwango cha kuacha madoa usponi baada ya kukauka.
JUA (UV LIGHT).
Jua nalo ni chanzo kikubwa cha kuharibu ngozi. Jua sio tu kwamba linaleta madoa usoni, jua linaweza kusababisha matatizo makubwa ya ngozi ikiwemo kansa kama hatua za makusudi hazita chukuliwa kuilinda ngozi inayopingwa na jua.
MADAWA.
Kuna baadhi ya madawa huweza kuifanya ngozi iwe sensitive na kuleta madoa usoni bila hata kupigwa na jua au kuwa na chunus. Baadhi ya madawa hayo nii;
Estrogens
- Tetracyclines
- Amiodarone
- Phenytoin
- Phenothiazines
- Sulfonamides.
Kwa hiyo huna tena sababu ya kuhangaika suluhisho lipo. KARIBU SANA.
No comments:
Post a Comment